Started by john bart in General Dec 23, 2011.
Started by Mr Ralph in General Nov 22, 2011.
Started by samuel dzombo in General Nov 12, 2011.
Started by INNOCENT MSILIKALE in General. Last reply by umbopa mtukanzu Nov 11, 2011.
Started by Zulekha in General. Last reply by fadhili rashidi mfinanga Nov 4, 2011.
Posted by Mr Ralph on January 27, 2012 at 3:34pm 0 Comments 1 Like
Posted by Mr Ralph on January 23, 2012 at 5:18am 0 Comments 0 Likes
Posted by Mr Ralph on January 4, 2012 at 11:00am 0 Comments 0 Likes
Little Learners Nursery and Daycare is now taking enrollment of children from 6 months through to school age. The Little Learners team believe that your child's early years are crucial to their future prospects, and as such, strive to ensure they provide the ideal nutrition, activities, and education for each stage of your child's development. Zulekha and Ralph invite you to call or email them to arrange a visit, where you can see the well equipped facilities and meet the professional and loving teachers. For more information and monthly rates, please view the flier below. Little Learners is located off Sam Nujoma Rd. in the Mwenge-Sinza area. Please direct your inquiries to Zulekha at +255 653 790 499 | Ralph at +255 656 226 695 | or email them at ralphgodden@gmail.com. For more information about Little Learners, please visit their website >…
Posted by hisham omar on December 6, 2011 at 1:12pm 0 Comments 0 Likes
Endapo tutasema Professor Jay amerudi tena au hata tuiweke kwa kimombo kwamba Professor Jay is back on the game, ili kuonyesha msisitizo,bila shaka tutakuwa tunakosea.Nasema hivyo kwa imani moja nyepesi kabisa; Professor Jay alikuwepo,yupo na hakuna ubishi kwamba ataendelea kuwepo.
Hii ni kutokana na jinsi ambavyo kwa muda mrefu Professor Jay(jina kamili Joseph Leonard Haule) amekuwa akifanya kama kupotea hivi kabla hajaibuka upya kama sio kivingine kabisa kama ambavyo amefanya katika wimbo ambao nina furaha kuutambulisha kwako hivi leo.
Wimbo unaitwa Kamili Gado,ambalo ni neno la kimtaa kidogo lenye kumaanisha kitu au mtu aliyeko kamili katika mambo mengi. Huu ni wimbo wa pili rasmi kutoka katika…
ContinuePosted by hisham omar on November 19, 2011 at 4:30pm 0 Comments 0 Likes
HATIMAYE ile ‘event’ iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu ya utoaji Tuzo za Video za Muziki za Channel O (Video Music Award au VMA) imefanyika pande za South Africa (Afrika Kusini). Wasanii Weasel na Radio, D Banj, Liquedeep na wengine kibao walishaini kwa kutwaa tuzo lakini wawakilishi wa Tanzania, Sara Kaisi ‘Shaa’, Ambwene Yesaya ‘AY’ na Cpwaa kura hazikutosha.
Katika kinyang’anyiro hicho, mashabiki ndiyo waliochagua washindi kwa kupiga kura kupitia mtandao wa Channel O na simu za mkononi, suala ambalo tangu awali Watanzania walionekana kuwa wazito kulifanya hivyo kuwakosesha ushindi wasanii hao.
Majina ya wasanii walioshinda na tuzo zao kwenye mabano ni: Darey (Video Bora ya Dansi), The Dogg (Video Bora ya Kwaito), Naeto C (Video Bora Afrika Magharibi), Ice Prince/ Brymo…
ContinuePosted by Mr Ralph on October 15, 2011 at 9:50am 0 Comments 3 Likes
Posted by hisham omar on September 15, 2011 at 10:30pm 2 Comments 0 Likes
MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila Ray C a.k.a Kiuno Bila Mfupa, amepokea kipigo alipokuwa akifanya shoo nchini Kenya.
Tukio hilo la kufedhesha kwa mwanadada huyo ambaye kwa sasa anaishi nchini humo lilianza kama lifuatavyo,
Show ilianza ndani ya ukumbi wa sea front jijini Mombasa ambayo ilikuwa ni maalum kwa washiriki wa Project fame,akiwemo Hemed Suleiman na Peter msechu huku Rayc akiwa mtumbuizaji mkuu.
“Kwa kweli mwanzo mambo yalikuwa mazuri, watu walikuwa wakishangilia sana kutokana na burudani kali iliyokuwa ikitolewa. Hakukuwa na dalili za shoo hiyo kuharibika.
baada ya wanamuziki kadha wa kadha ku perform alipanda mwanamuziki OJ wa Kenya na kabla hajamaliza burudani huku mashabiki wakimshangalia, Ray C alikuwa tila tila tayari ( BWII) na ndipo alipoamua kupanda…
ContinuePosted by Mr Ralph on August 20, 2011 at 1:03pm 1 Comment 1 Like
Posted by Mr Ralph on August 20, 2011 at 12:55pm 1 Comment 3 Likes
Posted by Mr Ralph on August 11, 2011 at 7:42pm 0 Comments 1 Like
Fid Q is so excited Today, Kama hujui leo ni siku ya kuzaliwa ya mtoto wa kwanza na wa kiume wa Fid Q
anafikisha umri wa mwaka mmoja! FId Q kama BABA ameamua
kutoa ngoma itayakayosindikiza hii siku ambayo ni kubwa kwake na kwetu
pia! mistari inajieleza zaidi.
''HAPPY BIRTHDAY FEISAL FAREED a,k,a F'DUBLE''
Listen And Download For Free
Added by Tony Okinjo 0 Comments 0 Likes
Added by Tony Okinjo 0 Comments 0 Likes
Added by hisham omar 0 Comments 0 Likes
168 members
74 members
74 members
60 members
51 members
Bongo Flava's Social Network! bringing you the best of Tanzanian Entertainment. Chat, Forums, News, Video and the latest bongo flava Mp3s.
© 2012 Created by Mr Ralph.
