ARCHIVE September, 2010
AY & Bebe Cool – Chap Chap
Kwa muda mrefu nimekuwa nikiota kuhusu ushirikiano wa kimuziki kati ya AY(one of Tanzania’s best) na Bebe Cool kutoka nchini Uganda.Wakati AY ni mkali wa freestyle,Bebe Cool anaaminika kuwa miongoni mwa wasanii bora kabisa wa ragga Afrika Mashariki akienda sambamba na wenzake kama vile Redsan na Chameleon. Kwa muda mrefu nimekuwa nikiota kuhusu ushirikiano wa Read more
Mama Mzazi wa Mwanamuziki Mrisho Mpoto Afariki Dunia
Mama Mzazi wa Mwanamuziki Mrisho Mpoto ( Mwanaisha Mrisho ) amefariki Dunia kwa habari zilizotufikia leo Asubuhi. bado tunafatilia kukupa taharifa zaidi kuhusu msiba wa mama mzazi wa mwanamuziki Mrisho Mpoto. Mungu Ailaze Roho ya marehemu Mama Mwanaisha Mrisho mahali pema peponi Amina.
Hard Mad: Kufanya video yake mpya
Msanii wa muziki wa kizazi kipya HARD MAD jumapili hii anafanya video yake ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la AMKA UJITETEE chini ya production yaVISUAL LAB na mtayarishaji wake ni ADAM JUMA. Hivyo basi mashabiki na wapenzi wa muziki wa HARD MAD mkae mkao wa kula kwa maana jamaaa ni msanii wa kweli katika mziki huu na amekaa kimya kwa muda Read more
Nakaaya Sumari Kajitoa chadema na kuhamia CCM
Msanii wa Bongo Flava ambaye aliwahi kutamba na kibao cha Mr politician anayejulikana kwa jina la nakaaya amerudisha kadi yake ya chadema ambayo alijiunga siku si nyingi na kuhamia rasmi CCM. Nakaaya Sumari amerudisha kadi yake kwenye kampeni ya Jakaya kikwete iliyofanyika leo hii pale mjini Arusha.
It's Not Done Till It's Done
An on going tension has been going for ages between genres of music existing locally, I mean Bongo, Tanzania. The whole point of writing this is not to talk about other genres but only Hip Hop to be more precise Bongo Hip Hop. It’s such an overwhelming feeling hearing brothers and sisters, yes I said Read more
Who's Cpwaa
CP a.k.a Cpwaa real name Ilunga Khalifa was born on 2nd of March 1982, Tanzania as the only child .He started his music career when he was at age of 14 by imitating and raping on American Rap Artists songs which later served as his inspiration. He became serious with Music after joining college in Read more
So Pwaa! another Video Award for Cpwaa?
Ever since the new video by Cpwaa “ So Pwaa ( Pwaa part 3) was released online 29th August and on Tanzania’s TV stations 1stSeptember 2010, it has been creating major stories around its way as one of the best video produced in 2010. Cpwaa who won the Kilimanjaro Music Award 2010 for the “Best Read more
ALA ZA ROHO BIGGEST SEASON IS HERE ,MONDAY ON 20TH SEPT 2010
I cant believe the biggest season is here,Diva is back ya’ll and she is here Already.. It feels like the show just started already,Time flies so fast,The season is pretty Intense.. This time is Lovey Dovey , Theres Lots Of Celebs Relationship Drama.. And The Biggest Season SLOGAN IS… THE SWAGGER CONTINU.. Stay tunned to Read more


