Album Mpya ya Young D kuingia sokoni

Sasa ni zamu ya msanii wa Hip Hop ambaye maybe ni msanii mdogo kiumri kuliko wote Tanzania. Anayejulikana kwa jina la Young D kutoka Fish Crab. Young Dee yuko mbioni kuingiza album yake ya kwanza Sokoni itakayokwenda kwa jina la Young Rapper.
Leave a Reply
Sorry, but you must be logged in to post a comment.



1 Comment
by dee7
On October 29, 2010
i hope its gonna be a bomb….