MwanaFA – Unanijua unanisikia

Track mpya kutoka kwa MwanaFA inayokwenda kwa jina la unanijua unanisikia ikiwa imefanywa kwa Hermy B.
[audio:http://www.bongoflava.net/wp-content/uploads/2011/03/MwanaFA_-_Unanijua_unanisikia_CLUB_EDIT_Produced_By_Hermy_B.mp3|titles=MwanaFA_-_Unanijua_unanisikia_(CLUB_EDIT)_Produced_By_Hermy_B]
http://www.bongoflava.net/wp-content/uploads/2011/03/MwanaFA_-_Unanijua_unanisikia_CLUB_EDIT_Produced_By_Hermy_B.mp3
Leave a Reply
Sorry, but you must be logged in to post a comment.



4 Comments
by Ali Manzu
On March 6, 2011
Hi,just to let you know,hii track ni bomba,imesimama kimistari,Imesimama kwa ala zilotumiwa and above all,Binamu anaflow kinoma. Big up to Fa,keep it up,ima kwa Tai au T-shirt na Jeans!
by Jose kirwaye
On March 9, 2011
Bwana weee, the track is off the chain iko juu tu vinoma. Beat yenyewe ni kali mistari nazo ni za kipekee, Big up FA
by Pepe
On April 8, 2011
DOPE MC…BIG UP MWANA FA!
by SAM
On May 25, 2011
e bwana pini la kimataifa hili….nimepiga saluti chwaa!