ARCHIVES
Album Ali K 4Real Artistes Alikiba Hey (yei ye yee 2x soniyee) Ye (lolo lololo lilele 3x) Alike (yolo lilele) baby girl CHORUS Msinisemee ah 4x Kwamba anapenda kula Msinishangae 4x kwamba anapenda kula Msinitengee 4x Kwamba anapenda kula VERSE(1) Asi hivi juzi juzi Kulikuwa na shuguli Utawa birika na simali Kulikuwa na pilau na Read more
August 22, 2009 in Lyrics by Ralph
No comments yet
VERSE: ONE Chambichambi zilinitoka,ukajifanya kunitoroka Kama ndege ukaruka,wenye fedha wakakuteka Ndoto zangu zote zikaishia hewani,nikabaki na jeraha moyoni Watu wengi wakacheka sana kwa sababu,nilibakia kama hayawani Ulidhania siwezi tena,kuishi peke yangu Ukafikia kiwango chaku-mtusi mama yangu Ukaniona sifai tena,eti huzioni pesa zangu Wale watu walikudanganya,umevunja moyo wangu Vipi mbona tena unataka kurudi tena nafasi zimejaa Read more
August 12, 2009 in Lyrics by Ralph
No comments yet
CHORUS Yaani shwari hamna shari Mi na mabinti damdam, kweli kweli Sababu zipo wazi mwenye macho aone enhh! Wengine ndani jeans wengine ndani ya skirt Wengine mini au magauni ya vitambaa vyepesi Mradi istizahi wanipore uhuru wa nafsi Weledi wa ajabu kwenye mambo ya chini ya paa Kuna werevu wa ajabu kwenye mambo mengi bar Read more
July 3, 2009 in Lyrics by Ralph
1 comment
INTRO… Wagwan Blood… the personality change,…hii ya leo hii! Hermy… CHORUS MwanaFA unaoa lini(bado nipo nipo kwanza) Unasema(bado nipo nipo sana) * 2 MwanaFa unaoa lini(bado nipo nipo mwana) Wa kuoa ntakuwa mimi mwana!!? VERSE 1 Japo natokea Tanga mapenzi yalipozaliwa Sijivishi ufundi nikajifanya nayajua Mi nna akili timamu naona tu mnavyoyarukia ukiniona na demu Read more
July 3, 2009 in Lyrics by Ralph
No comments yet
VERSE I Hakuonekana na binti hakuwahi kuiasi dini Mfuasi mzuri wa maadili lakini alikufa kwa ngoma Aliwarudisha waliopotea akawapa tiba mbadala Na adui mkubwa wa zinaa lakini alikufa kwa ngoma Najaribu kumjengea picha mshkaji alie kalala ndani ya futi 6 Namkumbuka mtaani mtaani alipokuwa anakatisha Na mara kadhaa maskani washkaji ungemkuta Usingedhani ana ngoma machoni Read more
July 3, 2009 in Lyrics by Ralph
No comments yet