ARCHIVES

Nigeria Collaboration from Bongo Records

Bongo Recrods have been as busy as ever with Pfunk producing new material for Juma Nature, Afande Sele, Ferooz, and also a very intersting collaboration with Nigerian Artist G-Scent. “In a normal world,East and West never meet.However, in the music world,East can meet West and when that happens,the best is a normal result.That is what  Read more

August 14, 2011 in Bongo Flava, General, News by

No comments yet

Rama Dee releases new album

Album ya Rama Dee imemalizika hivi karibuni na sasa ndo imeshaingia mtaani….. Album inaitwa “CHINI YAUVUNGU WA MOYO WANGU “, Na yote imefanyika ndani  ya studio ya “SABABISHA RECORDS”, na nimeproduce ngoma zote isipokuwa ‘MAKE UP’ ambayo imefanywa na pancho latino pale B hits na track inayoitwa ‘LEO’ ambayo imefanywa na producer chipukizi anayeitwa  SAFI  Read more

March 5, 2011 in Bongo Flava, News by

No comments yet

KUTOKA KWA AY-VOTE AY KWA KILI MUSIC AWARDS -2011

 MAMBO VIPI… NATAMBUA NINAPATA/TUNAPATA MAFANIKIO MAKUBWA KUTOKANA NA KUWA NA WATU WENGI WANAONISUPPORT NA WANAOTUSSUPORT (AY & FA)KWENYE KAZI ZETU ZA KIMUZIKI KWA UJUMLA NA YOTE HII NI KWA KUWA HATUWAANGUSHI KATIKA KAZI ZANGU NA ZOTE TUNAZOZIFANYA..HII YOTE NI KWA KUWA TUNAIPENDA NA KUIHESHIMU SANA KAZI TUNAYOFANYA KWA KWENDA NA WAKATI NA KUJUA NINI WASHABIKI WANATAKA KIPINDI  Read more

March 5, 2011 in Bongo Flava, News by

No comments yet

Sauda Rocks at Sauti za Busara Festival!

    Hi all.. You can see Sauda’s Sauti za Busara performance on CAPITAL TV (Tanzania) TUESDAY 22 Feb at 19:00.  Please don’t miss this!!  *** Watch the video for Global Crisis HERE! This is the first video from her album titled Sauti ya Sauda, available at all A Novel Idea bookshops in Tanzania, New  Read more

March 5, 2011 in Events, News, Reviews by

No comments yet

Karibu to Pen & Mic

Karibu to a literary event for kool kats with literary minds featuring readings by @Fareed Kubanda (FidQ), @Langa Sarakikya and Walter Bgoya, punctuated by jazz. Plus, performances by @Mzungu Kichaa, @Kauzeni Lyamba and other contemporary writers and musicians.

February 2, 2011 in Bongo Flava, Events, News by

No comments yet

Exclusive: Rama Dee Ft G nako & Pipi – Make Up

“Make up” ft G nako & Pipi is a new song released by rama dee from his coming album “uvungu wa moyo wangu”, production by Pancho Latino from B hits Records… Listen Make Up and Drop Ya comment.

November 4, 2010 in News by

No comments yet

SITO WASAHAU MILELE…THE NEXT SINGLE FROM JCB

THE MEMBER OF WATENGWA A HIP HOP CLAN FROM ARUSHA JCB IS ABOUT TO RELEASE ANOTHER TRACK FROM HIS ALBUM NAKALA ZA MAKALLA, THE SONG TITLED SITOWASAHAU MILELE(MOMENT OF SILENCE) IS A SPECIAL DEDICATION TO ALL SOLDIERS WE LOST IN THE GAME OF HIP HOP MUSIC INCLUDING THE MEMBER OF X-PLASTAZ “FAZA NELLY”,VIVIAN TILLYA AND  Read more

November 2, 2010 in News by

No comments yet

Sugu ashinda Ubunge Mbeya Mjini

Habari zilizotufikia ni kwamba Joseph Mbilinyi aka Sugu hivi sasa ameshinda ubunge katika jimbo la mbeya mjini kupitia chama cha CHADEMA. Sugu ambaye ni mhasisi wa mziki wa Bongo Flava Tanzania tunamtakia mafanikio mema katika kuongoza Jimbo lake na m…

November 1, 2010 in News by

No comments yet

Diamond Kuwania Tuzo MTV Afrika

Mwanamuziki mahiri anayetesa na kibao chake cha Mbagala, Diamond, leo ametangazwa kuwania tuzo ya ya muziki barani Afrika ya MTV Africa Music Awards (MAMA 2010) na hivyo kuwa mwanamuziki pekee kwa mwaka huu kuwania tuzo hizo kutoka hapa nchini, tuzo ambazo zinatolewa na MTV na kudhaminiwa na Zain. Hongera sana Diamond na tunatumaini utatuletea Tuzo  Read more

November 1, 2010 in News by

1 comment

Album Mpya ya Young D kuingia sokoni

Sasa ni zamu ya msanii wa Hip Hop ambaye maybe ni msanii mdogo kiumri kuliko wote Tanzania. Anayejulikana kwa jina la Young D kutoka Fish Crab. Young Dee yuko mbioni kuingiza album yake ya kwanza Sokoni itakayokwenda kwa jina la Young Rapper.

October 29, 2010 in Bongo Flava, News by

1 comment

close window

Service Times & Directions

Weekend Masses in English

Saturday Morning: 8:00 am

Saturday Vigil: 4:30 pm

Sunday: 7:30 am, 9:00 am, 10:45 am,
12:30 pm, 5:30 pm

Weekend Masses In Español

Saturday Vigil: 6:15pm

Sunday: 9:00am, 7:15pm

Weekday Morning Masses

Monday, Tuesday, Thursday & Friday: 8:30 am

map
6654 Main Street
Wonderland, AK 45202
(513) 555-7856